Msuko huu unaitwa vibutu au njia tatu,husukwa kwa kutumia rasta bunda tatu hadi nne.Inagharimu shilingi elfu ishirini pamoja na rasta. |
Mtindo huu upendelea kusuka watu wengi sehemu mbalimbali na watu wa aina zote,ni mzuri sana unaweza ukajalibu kuhusuka. |
No comments:
Post a Comment