Friday, August 30, 2013

AINA MBALIMBALI YA KUSUKA NYWELE KWA WATOTO.

     Mitindo mbalimbali ya kusuka nywele kwa watoto.          





Mtindo huu unaitwa mbinjuo umesukwa kwa kutumia nywele za kawaida,lakina mikia imesukwa kwa kutumia uzi wa vitambaa mweusi.

 



Msuko huu unaitwa yeboyebo.

 


Huu unatwa mbinjuo wa vibutu,ambapo mbele unasuka mbinjuo na nyuma vibutu.








Hii ni mitindo mbalimbali ya kusuka nywele kwa watoto, pia misuko hii unaweza ukatumia rasta kusukia au nywele zenyewe ukasuka ni mizuri na inavutia.

 



Thursday, August 22, 2013

JACKLINE WOLPER NA STYLE MBALIMBALI ZA NYWELE






Mitindo ya nywele imekuwa moja ya kivutio kikubwa cha urembo wa mwanamke na kwa sasa stlye ya upara imeshika chat na kuwafanya wanawake wengi kuwa na muenekano wa kuvutia.

Unaweza kujaribu na wewe mtindo huu.