Mitindo mbalimbali ya kusuka nywele kwa watoto.
Mtindo huu unaitwa mbinjuo umesukwa kwa kutumia nywele za kawaida,lakina mikia imesukwa kwa kutumia uzi wa vitambaa mweusi. |
Msuko huu unaitwa yeboyebo. |
Huu unatwa mbinjuo wa vibutu,ambapo mbele unasuka mbinjuo na nyuma vibutu. |
Hii ni mitindo mbalimbali ya kusuka nywele kwa watoto, pia misuko hii unaweza ukatumia rasta kusukia au nywele zenyewe ukasuka ni mizuri na inavutia. |