Weaving ni miongoni mwa mitindo ya nywele kwa wanawake,ambapo nywele husukwa na baada ya hapo kushonewa weaving jina lingine la mtindo huu ni darling.
![]() |
Mitindo hii yote ya weaving ni mizuri sana na husukwa na watu wa aina mbalimbali unaweza ukajaribu kushonea. |