Tuesday, September 17, 2013

AINA MBALIMBALI ZA WEAVING.

Weaving ni miongoni mwa mitindo ya nywele kwa wanawake,ambapo nywele husukwa na baada ya hapo kushonewa weaving jina lingine la mtindo huu ni darling. 








Mitindo hii yote ya weaving ni mizuri sana na husukwa na watu wa aina mbalimbali unaweza ukajaribu kushonea.



Wednesday, September 11, 2013

MITINDO MBALIMBALI YA KUSUKA NYWELE ZA YEBOYEBO/PENSELI.

Weaving ni miongoni mwa mitindo ya nywele kwa wanawake,ambapo nywele husukwa na baada ya hapo kushonewa weaving jina lingine la mtindo huu ni darling. 








Mitindo hii yote ya weaving ni mizuri sana na husukwa na watu wa aina mbalimbali unaweza ukajaribu kushonea.



Wednesday, September 4, 2013

MITINDO YA KUSUKA NYWELE ZA VIBUTU/NJIA TATU NA AINA ZAKE ZA UBANAJI.





Msuko huu unaitwa vibutu au njia tatu,husukwa kwa kutumia rasta bunda tatu hadi nne.Inagharimu shilingi elfu ishirini pamoja na rasta.








Mtindo huu upendelea kusuka watu wengi sehemu mbalimbali na watu wa aina zote,ni mzuri sana unaweza ukajalibu  kuhusuka.







Friday, August 30, 2013

AINA MBALIMBALI YA KUSUKA NYWELE KWA WATOTO.

     Mitindo mbalimbali ya kusuka nywele kwa watoto.          





Mtindo huu unaitwa mbinjuo umesukwa kwa kutumia nywele za kawaida,lakina mikia imesukwa kwa kutumia uzi wa vitambaa mweusi.

 



Msuko huu unaitwa yeboyebo.

 


Huu unatwa mbinjuo wa vibutu,ambapo mbele unasuka mbinjuo na nyuma vibutu.








Hii ni mitindo mbalimbali ya kusuka nywele kwa watoto, pia misuko hii unaweza ukatumia rasta kusukia au nywele zenyewe ukasuka ni mizuri na inavutia.

 



Thursday, August 22, 2013

JACKLINE WOLPER NA STYLE MBALIMBALI ZA NYWELE






Mitindo ya nywele imekuwa moja ya kivutio kikubwa cha urembo wa mwanamke na kwa sasa stlye ya upara imeshika chat na kuwafanya wanawake wengi kuwa na muenekano wa kuvutia.

Unaweza kujaribu na wewe mtindo huu.